PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 445
leo mnyama anampiga mtu mkono, YANGA imekula kwao hawatukamati
mechi bado haijaanza!!!!!!
leo mnyama anampiga mtu mkono, YANGA imekula kwao hawatukamati
dakika ya kumi sasa bado bila bilamechi bado haijaanza!!!!!!
dakika 22 bado SIMBA 0-RUVU STARS 0
dakika 40 SIMBA 0- RUVU SH 0aisee mbona tumewachelewesha hao vijana wa Ruvu!!!
SIYO AVATAR Ni signature, ila MAN CITY ni maoni tu....Hiyo Avatar badili, kwenye Manchester ni United tuuu hao wengine ni kama Azam,...wasindikizaji...
kitu bado dakika ya 44 hiyowadau,bado tu?
wadau mnaweza kusikiliza TBC taifa hapa http://www.tbc.go.tz/~tbcgo/tbc-taifa-radio.html
ngoma nzito, bado bilibila, half time tayari.
Umeshafunga mangapi hadi sasaleo mnyama anampiga mtu mkono, YANGA imekula kwao hawatukamati
maafande wamebana..
kipindi cha pili kimeanza sikiliziaUmeshafunga mangapi hadi sasa
goli la 1 hilo SIMBA 1-RUVU SH 0-MFUNGAJI OKWIkipindi cha pili kimeanza sikilizia
goli la 1 hilo SIMBA 1-RUVU SH 0-MFUNGAJI OKWI