sunzu anaweza kuwa nje kwa muda wa siku 60,hapo simba hana tena mfungaji,sunzu kwa simba nikama messi kwa barca.sasa kama sunzu kaumia sana mechi yetu na mtibwa tuna kazi kubwa..
sunzu anaweza kuwa nje kwa muda wa siku 60,hapo simba hana tena mfungaji,sunzu kwa simba nikama messi kwa barca.sasa kama sunzu kaumia sana mechi yetu na mtibwa tuna kazi kubwa..
Dak 30 bila bila.Wandugu, tunaomba updates za Simba v/s Mtibwa kwa walio uwanjani au wenye radio inayotangaza.
Natanguliza shukrani.
Simba wamepata goli kupitia kwa Emmanuel Okwi.
Half time: Simba 1-0 Mtibwa sugar.
Kaseja, Chollo, Juma Jabu, Nyoso, Victor Costa, Jerry Santo, Uhuru Seleman/Ulimboka Mwakingwe, Amri Kiemba, Shomari Kapombe, Gervais Kago na Emmanuel Okwi.Kama inawezekana tutajie list ya Simba.
SIMBA kanyaga twende! Ile timu ya Magamba inaanza kufufuka lakini wasidhani kilasiku ni j3.Ya mwaka jana sahau. SIMBA TAIFA KUBWAAA!
Emmanuel Okwi.nani kajaza wavuni?
Anatoka Kiemba anaingia Haruna Moshi, Kago naye anatoka anaingia Shija Mkina.