Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Huku kukamia kwa TOTO kungekuwa hivi siku zote VPL ingekuwa nzuri sana. Tatizo lao wanatukamia siye tuuuuu...!!!! Hovyo kabisa hawa TOTO. Sijui wanalipwa nini hawa?

Full Time: TOTO 3 SIMBA 3
Hapana mkuu...Toto ni wazuri sana msimu huu....

Wameanza ligi vizuri na hata ukiangalia perfomance yao so far wamecheza mechi 7 wameshinda 2 wamepoteza 2 na wametoka sare 3....Wana pointi 9 na mpaka kabla ya mechi ya leo walikuwa wanashika nafasi ya 5 katika msimamo wa ligi.....

Ni mchezo tu mkuu...Kwenye mpira kuna kufunga,kufungwa ama kutoka sare....Lolote laweza kutokea......Mbona Toto wamecheza 10 uwanjani kwa zaidi ya dakika 15 na Simba wameshindwa kuwafunga?,ni mchezo tu mkuu wangu...
 
Kaseja atakuona kanda ya ziwa hakufai, kaenda kule hajafungwa goli hata moja karudi na goli nne, mimi kinachonipa faraja juu ya Mnyama tumedraw mechi tatu zote za ugenini hao wote wakija nyumbani Azam, Kagera, Toto wote chapa goli nyingi sana.

Mzunguko wa kwanza tumebakisha mechi ngumu ni ya Mtibwa, JKT ruvu na Yanga.
 
Sawa kaka! Ha ha ha haaa...!!!!
 
tathimini yako mkuu..
Simba bado ni wazuri sana...Hata mechi ya leo wameshambulia sana sema kikwazo kilikuwa ni beki ya Toto pamoja na kipa wao....Pia beki yenu na kiungo vimekatika sana leo mtani....

Ila Kaseja naona na yeye kaanza ugonjwa wake wa kujisahau kama msimu uliopita,mechi 2 tayari kafungwa magoli manne(04),hii ni hatari sana maana kabla ya hapo alikuwa hajafungwa
 
Kirumba huwaga pabaya sana kwa simba lakini angalau wametoka na point moja big up simba ila mkaze buti hata msimu uliopita mlianza vema baadaye mkatuangusha, naamini mtakuwa kama FCB, karibuni tuangalie baadaye Valencia vs Fc Barcelona saa 22:55 hrs via ss7.
 
Simba bado ni wazuri sana...Hata mechi ya leo wameshambulia sana sema kikwazo kilikuwa ni beki ya Toto pamoja na kipa wao....Pia beki yenu na kiungo vimekatika sana leo mtani....

Ila Kaseja naona na yeye kaanza ugonjwa wake wa kujisahau kama msimu uliopita,mechi 2 tayari kafungwa magoli manne(04),hii ni hatari sana maana kabla ya hapo alikuwa hajafungwa

"Comeback" ya Simba imenifurahisha leo, walipobanwa walijitahidi kutafuta goli na wakaweza kupata mara zote mbili walizotanguliwa. Ni dalili njema.
 
Hapana mkuu...Toto ni wazuri sana msimu huu....

Wameanza ligi vizuri na hata ukiangalia perfomance yao so far wamecheza mechi 7 wameshinda 2 wamepoteza 2 na wametoka sare 3....Wana pointi 9 na mpaka kabla ya mechi ya leo walikuwa wanashika nafasi ya 5 katika msimamo wa ligi.....
.
toto msimu huu walitakiwa wawe zaidi ya hapa walipo, maana wamepata kaudhamini japo kadogo lakini angalau kuliko timu zingine ambao hawana kabisa
tatizo lao ni kwamba wanakomaa zaidi na simba wakati wakicheza wengine wanakuwa nyanya, hasa huko mmwanza yule babake jerry tegete ambaye ni meneja wa uwanja na mnazi mkubwa wa yanga, ndiye anayeongoza fitna za toto dhidi ya simba sasa sijui kwa maslahi ya yanga au ya toto? maana timu zingine zikija kucheza kirumba wala hafanyi hizo fitina
 
soka la bongo!
 
sasa kama sunzu kaumia sana mechi yetu na mtibwa tuna kazi kubwa..
 
Kaseja atakuona kanda ya ziwa hakufai, kaenda kule hajafungwa goli hata moja karudi na goli nne, mimi kinachonipa faraja juu ya Mnyama tumedraw mechi tatu zote za ugenini hao wote wakija nyumbani Azam, Kagera, Toto wote chapa goli nyingi sana.

Mzunguko wa kwanza tumebakisha mechi ngumu ni ya Mtibwa, JKT ruvu na Yanga.

no! Ni mechi mbili tu,JKT RUVU na MTIBWA! kandambili sidhani
 
sasa kama sunzu kaumia sana mechi yetu na mtibwa tuna kazi kubwa..

kimsingi nakubaliana na wewe! Lakini mkuu hii ndio simba!
Kaseja,cholo,maftah(anaweza kuwa amerecover)/jabu,nyoso,coaster,santo,mafisango(a kind of a player i admire in vpl),kazimoto,booban,okwi,kago,kiemba,mungusa,
yani simba ina wachezaj wataalam hadi raha!
IN SIMBA,WE TRUST!
 
Huku kukamia kwa TOTO kungekuwa hivi siku zote VPL ingekuwa nzuri sana. Tatizo lao wanatukamia siye tuuuuu...!!!! Hovyo kabisa hawa TOTO. Sijui wanalipwa nini hawa?

Full Time: TOTO 3 SIMBA 3
kombo shukuru mungu mumemchakachua refa akawapa goli la 3 lenye utata mkubwa,pia simba kabebwa mpk mbeleko imechanika,mpk toto wapewe red card ndio msawazishe?leo kama sirefa kuwabeba waziwazi simba alikua afungwe 6,firsta half 3 and second half 3. Kweli toto ni noma.
 
Back
Top Bottom