The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
tbc wanaboa,wanapiga stori tu,wameacha kututangazia mpira!
Mimi mtaniwekea matokeo ngoja nisinzie kidogo.
Siyo woga mkuu, tbc wanapiga story zao tu badala kutuletea matangazo ya soka halafu usikivu ni mbovu kweli.ondoa woga mkuu
Hawa jamaa nina wasiwasi nao kuliko hata Yanga.......ni kweli Kirumba kugumu,Toto wamesawazisha bwana.
Azam anaongoza kwa goli 1Tanga vipi ?
Asante kwa kutujuzaAzam anaongoza kwa goli 1
Toto 2-1 Simba