Chamanzi Villa 1 Yanga 0 dk ya 12
Kirumba kugumu lkn kitaeleweka tu leo, Basena kapanga full mkoko(Uli, Okwi, Santo, Mafisango, Boban, Sunzu, Costa, Kaseja....ndani ya nyumba)
Hawa watoto huwa wanatukamia....roho inadunda wakuu!
Kwani Manji kasha waweka sawa.....Yebo naona sasa wanataka kufuta makosa....
Hawa watoto huwa wanatukamia....
mwanza vipi?
Toto la yanga leo wanachezea 3 bila.........Mkwakwani vipi?