kagera 1 na simba 1
ligi ni ngumu laki kwa yanga hii ni balaaPoleni sana wana Jangwani. Mwaka wa hasara ni hasara kweli. Maybe next game Yanga watafanya vizuri.
Full time: Azam 1 Yanga 0
Kagera nasikia wamesawazisha kwa penati, mpira unaendelea
P kazi, leo najiuzulu ushabiki kwa muda mpaka arsenal na yanga watakapo fufuka. najivua gamba rasmi
Chamazi upepo unaonyesha Yebo yebo atanawili na hapo Kirumba kazi ipo kuliko unavyoweza kufikilia..ngoja tusubiri dakika 90..Tunasubiria hiyo mitanange:
...Chamanzi-Patakalika?,
...Kirumba-Lazima Kieleweke!
...Mkwakwani-Kutunisha Msuli
Chamazi upepo unaonyesha Yebo yebo atanawili na hapo Kirumba kazi ipo kuliko unavyoweza kufikilia..ngoja tusubiri dakika 90..
pole sana ndio mpira baada ya mechi utakuwa freeroho inadunda wakuu!