Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Wanasimba tuombe, hali ni mbaya kwa simba kwani tusipo shangaa SIMBA matokeo yatakuwa Toto 4-1 Simba
 
Simba wakomae tuwachape hao Toto wamalize ubishi
 
Siamini ninachokisikia masikioni mwangu: hawa watoto wana mdindia Simba!!!!.
 
Simba wakomae tuwachape hao Toto wamalize ubishi
Toto siyo kwamba wana cheza mpira wa kutisha sana ila wanapokutana na simba hukamia sana matokeo yake tusipo jipanga wanaweza kutupiga nyingi...hizi timu za tanzania kama zingekuwa zina cheza mpira mzuri kama zinapokutana na simba au Yanga naamini soka letu lingekuwa juu sana....Hii mechi simba tukijipanga tuna wafunga tu lakini kama tutakaa vibaya 4 zinatuhusu....
 
Simba miti ya baiskel yake imeanza kuchoka .
Mkuu kama unaongeleea ushabiki nisibishane na wewe lakini kama unaongelea mpira na historia basi haya yanayotokea hapo Kirumba niliyatarajia na wala siyo kwamba simba imeshuka kiwangochake...
 
Back
Top Bottom