Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Toto siyo kwamba wana cheza mpira wa kutisha sana ila wanapokutana na simba hukamia sana matokeo yake tusipo jipanga wanaweza kutupiga nyingi...hizi timu za tanzania kama zingekuwa zina cheza mpira mzuri kama zinapokutana na simba au Yanga naamini soka letu lingekuwa juu sana....Hii mechi simba tukijipanga tuna wafunga tu lakini kama tutakaa vibaya 4 zinatuhusu....

Nimeipenda hii. Safi sana.
 
Kadi nyekundu kwa Isimail Mbonde....inasemekana ni kutumia lugha chafu akakutana na lugu la PAW...hahahahah
 
Simba miti ya baiskel yake imeanza kuchoka .
We usieme hivyo subiri dakika90 ndo utawajua simba siyo kama yanga walikuwa ICU ndo leo naona wameanza kunywa uji wa mchele
 
moto hatuuzimi huuuu na afadhali mfungwe tuuu!
Vipi utakubali lile jina lenu magamba?...ujue tuna wadai jengo na uwanja zilijengwa kwa pesa za kifisadi kupitia Manji(kagoda)....hahahahaahahah
 
Back
Top Bottom