Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Yanga
1;ida
2;juma abdul
3;oscar joshua
4;cannavaro
5;twite
6;domayo
7;msuva
8;dilunga
9;kavumbagu
10;ngassa
11;kiiza
sub;
barthez,telela, job, zahiri,thabit, javu, tegete
 
Jkt bure kabisa haw!! Azam bingwa lakini mjue hilo.
Arsenal wamekalia cha 3
 
Matokeo ya viwanja vingine yakoje au akuna wa kuripot kupitia JF.
 
Naona hao Everton wanajitahidi kuwaiga Yanga,wakifunga 2 na wao wanafunga 2,3 na wao 3
 
Kipindi cha II

DK 4

Ngassa anapata bao la 4
 
Kila ninapoangalia kiwango cha Yanga hasa inapocheza Taifa nashindwa kuelewa yale matokeo ya Tanga yalikujaje?
 
Back
Top Bottom