Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Tatizo la yanga yule mtu wa kigoma.
Yule mtu wa Kigoma fyongo sn
Tatizo la yanga yule mtu wa kigoma.
Nipo mdogo wangu,binafsi nimekumiss sana pia!leo nipo mitaa ya kwenu huku.Nimekumiss my bro mandieta
Haya leo visingizio visiwepo ooh uwanja mbaya leo mko home
mkuu, ile timu inayotaka kucheza na azam nasikia imesimamisha wachezaji wake!Nipo mdogo wangu,binafsi nimekumiss sana pia!leo nipo mitaa ya kwenu huku.
pamoja mkuu.Ni kweli mkuu yanga 2-0jkt
Yule mtu wa Kigoma fyongo sn
Hahahahahaha.mkuu, ile timu inayotaka kucheza na azam nasikia imesimamisha wachezaji wake!
hv sababu hasa ni nn?
Tunatetea ubingwa mpaka tone la mwisho.
Hawa jkt mbona wananiangusha sasa.
Nipo mdogo wangu,binafsi nimekumiss sana pia!leo nipo mitaa ya kwenu huku.
Hawa jkt mbona wananiangusha sasa.
Dk41:Yanga3-0JKT Ruvu
Hawa jkt mbona wananiangusha sasa.
Didier wa E.africa.nani katupia la tatu..