CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Nipo mkuu!Sijakuona muda mrefu mkuu mandieta
Last edited by a moderator:
Nipo mkuu!Sijakuona muda mrefu mkuu mandieta
haujaanza bado?
Everton2-0Arsenal.mara NYINGI hali ikiwa mbaya kwa ARSENAL, YANGA huwa anatakata,duh hali mbaya KWA GUNNERS tayari !
Haya leo visingizio visiwepo ooh uwanja mbaya leo mko homeHakuna kukimbia mtu hapa, nipo mpaka kipenga cha mwisho.
Mpira umeanza saa10.00 mkuu na mpaka sasa ni dk23 Yanga2-0JKT Ruvu.Mpira unaanza saa ngapi?
matokeo vp wakuu, nackia yanga anaongoza 2
Mpira umeanza saa10.00 mkuu na mpaka sasa ni dk23 Yanga2-0JKT Ruvu,kafunga zote Ngassa.Mpira unaanza saa ngapi?
Mbaya kwako.habari za humu jamani.
hata nane atafungwa ruvu.
mie sina tabu ninajua ruvu atafungwa tu hana jipya..Mbaya kwako.
Dk25:JKT Ruvu0-2Yanga
Umeanza....
Jkj ni nouma!Tatizo la yanga yule mtu wa kigoma.