Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Naziona HT zaidi ya mbili hivyo tff pelekeni mipira mingi uwanjani.
Wako wapi wale wa Msongamano? Siwaoni hapa jukwaani.
Naziona HT zaidi ya mbili hivyo tff pelekeni mipira mingi uwanjani.
95.7 Uhuru fm
Minziro kauza timu huyo, hiyo ndo tiketi ya kurudishwa Yanga.
Tegete in Kavumbagu out
Hawa watangazaji wa TBC1 cjui huwa wanawatoa wp,wanatangaza mpira kila cku lkn still bado hawawajui Wachezaji,mtu anamwita Hussein Javu Juma Javu...period!!!!
Halijaingia tu bao la sita?
Ligi hovyo hovyo .. sasa ni mashindano ya pochi la Manji vs la Bakhressa ...