yanga yapata penalti
mkuu hiyo penalt ya yanga imepigwa na fundi canavaro?Yanga 1 na Mgambo 1....
Red card, then penalty! Hii TFF ya malinzi hovyo .. bora na Tenga
Red card, then penalty! Hii TFF ya malinzi hovyo .. bora na Tenga
Dakika ya 50, Nadir Haroub "Cannavaro" anaipatia Young Africans bao la kusawazisha kwa penati​mkuu hiyo penalt ya yanga imepigwa na fundi canavaro?
Yanga walipofunga tu SSc wanaachia?!bocoooooooooo azam two simba one
Juma anahusikaje wakati Yondani ndiye kacheza fyongo? Acha unafiki wako wa kike!
Aisee..kisa yanga kupata penalti??Red card, then penalty! Hii TFF ya malinzi hovyo .. bora na Tenga
Tenga la nyanya au la maembe?Red card, then penalty! Hii TFF ya malinzi hovyo .. bora na Tenga
bocoooooooooo azam two simba one
Game gani?
mkuu hiyo penalt ya yanga imepigwa na fundi canavaro?
bocoooooooooo azam two simba one
1. Juma Kaseja -29Mwenye kujua kikosi cha yanga kilichoanza Leo dhidi ya Mgambo atuwekee hapa Tafadhali.