Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Sasa kama uwezo wao mdogo je? Kwanza atakae shangaa Simba kufungwa na Azam atakua na matatizo ktk mfumo wake wa akili, sababu haiingii akilini tuweze kumfunga wakati wa kwenda tushindwe wakati wa kurudi.
Wewe subiri mechi ianze, siku ile kwa Yanga mlipona kimiujiza leo lazima mkalishwe chini.