Mkuu, huwezi kuamini, leo hawajaamaa lazima waungane ile watake kuizuia historie isitimie.ha ha ha ha ha! tusubiri tuone maana yanga kwa fitina tu!
Safi kabisa umeonae haya ndo mambo ya azam. Wapi leo makoye matale?
Sikusiii ongeza sautii!!Simba leo wameuza mechi kwa Azam
mkuu habari yako.., nyie tusaidieni kuwakalisha azam, ila tukikutana na nyie lazima mkae tu.Pamoja na kwamba Simba tuna hali mbaya lakini sidhani kama tutakubali kuwa ngazi kirahisi namna hiyo, Azam wanakaa na Yanga nao wakija wanakaa, tafuteni ngazi zingine za kupandia kwenda kwenye ubingwa wenu, sisi sio ngazi.
kwa MARA YA KWANZA, leo naiombea simba ishinde.
cc Katavi,kitoabu
Simba kwasasa nikama joka la kibisa tu ngoja uone kitacho mkuta.mkuu habari yako.., nyie tusaidieni kuwakalisha azam, ila tukikutana na nyie lazima mkae tu.
kabisa mkuu..leo ni kwa mkopo msimbazi.Mkwakwani niko Yanga, Taifa niko Simba kwa mkopo. Nadhani nimejibu swali lako Mkuu.
mkuu habari yako.., nyie tusaidieni kuwakalisha azam, ila tukikutana na nyie lazima mkae tu.
simba leo wameuza mechi kwa azam
Na hlo ndio tatizo la tmu za bongo..leo simba anaweza kucheza ili kuikomoa YANGA,Pamoja Mkuu, nasikia kuna baadhi ya Mambumbumbu wamejipanga kuizomea klabu yao ili ifungwe na Azam, sisi tupo tutaishangilia Simba imkamue Azam. Kama Simba watacheza kinazi ili wafungwe watakabiliwa na adhabu kali ya kushushwa daraja kwa kupanga matokeo.
na hali hyo husababishwa na timu zetu kuruhusu kiongozi mmoja mmoja kusajili mchezaji anayemtaka yy, matokeo mchezaji hufuata matakwa ya aliyemsajili.Mkuu sio rahisi kama unavyofikiria, wale madogo uwezo wanao sana tatizo sijui ni utoto au baadhi ya viongozi wanawatumia, na mechi kama hizi ndo huwa wanajitahidi kuonyesha uwezo wao wote.
Pointi 6 hizi ni tamu zaidi ya zote kwa SSC. 3 kutoka Azam na zingine 3 kutoka Jangwani.Tunajua wengine watawaomba radhi wapenzi wao! lakini wengine watajipongeza kwa usemi tumekufa 'kiume'.Mnyama ni mnyama.
Sasa kama uwezo wao mdogo je? Kwanza atakae shangaa Simba kufungwa na Azam atakua na matatizo ktk mfumo wake wa akili, sababu haiingii akilini tuweze kumfunga wakati wa kwenda tushindwe wakati wa kurudi.Pamoja Mkuu, nasikia kuna baadhi ya Mambumbumbu wamejipanga kuizomea klabu yao ili ifungwe na Azam, sisi tupo tutaishangilia Simba imkamue Azam. Kama Simba watacheza kinazi ili wafungwe watakabiliwa na adhabu kali ya kushushwa daraja kwa kupanga matokeo.
Simba bingwa
Simba bingwa