Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
Yanga hawezi tufunga zaidi ya tatu!na kwa taarifa yako tunakupiga tuNakumbuka Yanga iliitwanga 5-1 Ashanti, ikailima 7-0 Komorozine, Ruvu Shooting nao walikula 7-0, leo tena 5-0 kwa Prisons. Ole kwa timu itakayofunga pazia la ligi na Yanga itapigwa zaidi ya 5-0. Mwenye masikio ya kusikilia na asikie.