Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Lakini jamani kiwango kinacho onyeshwa na simba katika soka nicha hali ya juu sana..sijui kwa nn tuna fungwafungwa.?
Kiwango gani cha juu? Mpira ni magoli au unazungumzia 'chenga twawala yakhe, halafu siye twafungwa!'.