Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Tawi gani tena Mkuu? Hukumbuki Mambumbu SC walichukua ubingwa baada ya Prisons kuibana Yanga huko Mbeya na kule Tanga Mtibwa akilala mbele ya Coastal Union? Acha mpira uchezwe uwanjani.

Hapo kwenye nyekundu ilikuwa ile timu ya Magomeni iliyokuwa inamilikiwa na Mh. Iddi Azzan, ilikuwa inaitwa Twiga sikumbuki vizuri
 
Team Today AISHI SALUM ERASTO NYONI GADIEL MICHAEL DAVID MWANTIKA AGGREY MORIS MICHAEL BOLOU HIMID MAO SALUM ABUBAKAR GAUDENCE MWAIKIMBA JOHN BOCCO KIPRE TCHETCHE SUBS MWADINI ALI WAZIRI SALUM LUCKSON KAKOLAKI KELVIN FRIDAY BRAISON RAFAEL MUDATHIR YAHYA BRYAN UMONY
 
mambumbumbu fc ni mabingwa sana wa kutoa updates za timu ya wananchi sijui wakowapi watiririke hapa
 
Kikosi cha Tz Prisons FC kinachoanza dhidi ya YANGA.... 1. Beno kakolanya -18 2. Salum kimenya -14 3. Laurean Mpalile -5 4. Nurdin Chona -28 5. Lugano Mwangama -16(c) 6. Jumanne Elfadhili -4 7. Fred Chudu -12 8. Omega Seme -8 9. Peter Michael -21 10. Frank william -17 11.Godfrey Mageta -22 SUBS; 1. Jamal Salum -30 2. Six Mwasekaga -15 3. Boni Hau -3 4. Jimmy Shoji -6 5. Henry Mwalugala -9 6. Brayson Mponzi -29 7. Ibrahimu Mamba -11 8. Adam Chipongwe -25 COACH: David Mwamwaja 1 hour ago 10· Unli
 
Team Today AISHI SALUM ERASTO NYONI GADIEL MICHAEL DAVID MWANTIKA AGGREY MORIS MICHAEL BOLOU HIMID MAO SALUM ABUBAKAR GAUDENCE MWAIKIMBA JOHN BOCCO KIPRE TCHETCHE SUBS MWADINI ALI WAZIRI SALUM LUCKSON KAKOLAKI KELVIN FRIDAY BRAISON RAFAEL MUDATHIR YAHYA BRYAN UMONY

Hivi uandishi ambao nilikukataza ni huu au mwingine!?
 
Kikosi cha Tz Prisons FC kinachoanza dhidi ya YANGA.... 1. Beno kakolanya -18 2. Salum kimenya -14 3. Laurean Mpalile -5 4. Nurdin Chona -28 5. Lugano Mwangama -16(c) 6. Jumanne Elfadhili -4 7. Fred Chudu -12 8. Omega Seme -8 9. Peter Michael -21 10. Frank william -17 11.Godfrey Mageta -22 SUBS; 1. Jamal Salum -30 2. Six Mwasekaga -15 3. Boni Hau -3 4. Jimmy Shoji -6 5. Henry Mwalugala -9 6. Brayson Mponzi -29 7. Ibrahimu Mamba -11 8. Adam Chipongwe -25 COACH: David Mwamwaja 1 hour ago 10· Unli

Mkuu Ndetichia tupe na kikosi cha Yanga.then tunaomba update mkuu nipo mbali na access zote.
 
Leo ligi kuu ya vodacom inaendelea uku macho na masikio yakiwa uwanja wa Taifa pale Yanga (mabingwa watetezi) itakapo pambana na Prison ya Mbeya (wajelajela) huko Tanga Wanajeshi wa JKT Mgambo ya Handeni wataikalibisha Azam FC vinara wa ligi.

Ulipokimbilia kuanzisha uzi ulitegemea nani aweke updates?
 
KIKOSI YANGA.

1. Kaseja.
2. Juma Abdul
3. Joshua.
4. Canavaro
5. Yondani
6. Domayo.
7. Ngasa.
8. Dilunga
9. Tegete
10. Msuva.
11. Okwi.
 
Hapo kwenye nyekundu ilikuwa ile timu ya Magomeni iliyokuwa inamilikiwa na Mh. Iddi Azzan, ilikuwa inaitwa Twiga sikumbuki vizuri

Asante Mkuu, kumbukumbu ilikaa upande nikakumbuka ile mechi ilipigwa Mkwakwani, ni kwelli ilikuwa Twiga Stars ya akina Bakari Malima.
 
Back
Top Bottom