CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Mkwakwani vipi?maana hapa taifa game over now!
Kandambili wameukimbia uzi wao!
dk 28 mgambo 0 - 0 azam
MUNGU jalia AZAM asuluhu na jumapili asuluhu tena na MAMBUMBUMBU FC
Mkwakwani vipi?maana hapa taifa game over now!
Prisons wamekosa penati.
Mie Mechi ya Simba n Azam natarajia ntaenda simba kwa mkopo.
Mie Mechi ya Simba n Azam natarajia ntaenda simba kwa mkopo.