Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Hii mi Rhino ichunguzwe, imekuja ligi kuu kugawa points tu au?
Kama vipi washushwe daraja na faini juu, Nyambafu!!
 
mkuu si mbaya ukimaliza na summary ya mchezo!hali ilikuwaje,magoli na wafungaji na hata kama kuna matukio makubwa yaliyotokea uwanjani!

mpira ukuwa poa kawaida.Rhino hawakua na amani hata mashabiki wa Tbr waliwageuka sababu ya kuwa mkiani.Goli zimefungwa na Tegete kipindi cha kwanza.Kipindi cha pili Rhino walijifunga kabla ya Javu kukamilisha kalamu ya mabao akitokea bench
 
Wakuu wangu Katiba Mpya imezingua na tunaachana na stress zake.Sasa pamoja na mimi kuwa Chalinze kwny kampeni lakini nitawalea LIVE game ya Yanga na Rhino Gari ya Yanga imeingia uwanjani,watu wanalipuka hapa.inapaki na kocha anashuka,akifuatiwa na Bartez,Chuji,Yondani,Ngasa etc.heeh mbona nusu ya timu hii ni SIMBA ya zamani.SIMBA CHUO CHA MAFUNZO.Updates! FT Yanga 3:Rhino 0
Sumary
mpira ulikuwa poa kawaida.Rhino hawakua na amani hata mashabiki wa Tbr waliwageuka sababu ya kuwa mkiani.Goli zimefungwa na Tegete kipindi cha kwanza,kipindi cha pili Rhino walijifunga kabla ya Javu kukamilisha kalamu ya mabao akitokea bench,ilikuwa kazi nzuri ya OKWI mchezaji wa zamani wa Simba
 
Kwa nini wanamzonga Okwi?

kabla ya mechi kwisha,mashabiki walikuja karibu kabisa na pichi wakijiandaa kuwaona mastaa wa Yanga,mpira ulipoisha watu wakavamia uwanja kuwashangaa mastaa.ndipo mkali OKW akavamiwa katika shamrashamra na vifijo
 

Attachments

  • 04.jpg
    04.jpg
    5 KB · Views: 313
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom