Nipo apa mbeya mkuu nasubiria kulipoti jumamosi gemu ya mbeya cit na prison, mandieta vp habari za apo dar,. Jf inatukutanisha usichanganye mambo
Vp mkuu ndomyana nakuona hapa JF,au upo Mbeya kama kawaida yako?
Last edited by a moderator: