Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Timu zipo pale tayari kukaguliwa.Timu zinasalimiwa na mgeni rasmi mama Fatma Mwasa,mkuu wa mkoa wa Mboka
 
kwa upande wa mashabiki hakuna Rhino bali ni Simba kushoto mwa jukwaa kuu na Yanga upande mwingine.upande wa kusini watu ni wachache sana.lakini nje ni nyomi.sina hakika kama wataenda ndani now au fungulia mbwa

viti viking'olewa tusilalamike tukipigwa faini wote.
 
Yanga wanapeleka Kaskazini,mpira umeanza.yanga wameanza kwa kasi hapa.mpira umetoka unarushwa kwenda YANGA
 
Mchezaji wa Rhino Ally Mwanyiro vs Selemani Mwanyiro "computer"marehemu mwanamziki wa sikinde ngoma ya ukae,jee wanamahusiano ya kindugu?
 
Hazard kesha piga hat trick.

Wewe hat trick ya Hazard umeipata wapi wakati magoli yamefungwa na watu wanne tofauti.

weA kJNCFlBjAAAAABJRU5ErkJggg==
 
Back
Top Bottom