Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
kwa upande wa mashabiki hakuna Rhino bali ni Simba kushoto mwa jukwaa kuu na Yanga upande mwingine.upande wa kusini watu ni wachache sana.lakini nje ni nyomi.sina hakika kama wataenda ndani now au fungulia mbwa
 
gari ya Yanga imeingia uwanjani,watu wanalipuka hapa.inapaki na kocha anashuka,akifuatiwa na Bartez,chuji,yondani,ngasa etc.heeh mbona nusu ya timu hii ni SIMBA ya zamani
 
kwa upande wa mashabiki hakuna Rhino bali ni Simba kushoto mwa jukwaa kuu na Yanga upande mwingine.upande wa kusini watu ni wachache sana.lakini nje ni nyomi.sina hakika kama wataenda ndani now au fungulia mbwa

Hee: wazee wa kung'oa viti Taifa, karibuni leo mng'oe viti vya zege hapo A. H. Mwinyi kama mna ubavu.
 
Kuna mkali mmoja wa Yanga kavaa kitumbo.huyu atakuwa kapiga bange.mbna anavua watu jezi nyekundu,na mpaka sasa amefanikiwa kuwabakiza watu wa4 tumbo wazi
 
Huu uzi ni updates ya mechi au ni udaku wa simba na yanga?
 
First Eleven ya Yanga baadhi yao ni Kanavaro,Tegete,Okwi,Ngasa,Msuva,Tegete,Joshua,Dilunga
 
Back
Top Bottom