Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Wakuu wangu Katiba Mpya imezingua na tunaachana na stress zake.Sasa pamoja na mimi kuwa Chalinze kwny kampeni lakini nitawalea LIVE game ya Yanga na Rhino Gari ya Yanga imeingia uwanjani,watu wanalipuka hapa.inapaki na kocha anashuka,akifuatiwa na Bartez,Chuji,Yondani,Ngasa etc.heeh mbona nusu ya timu hii ni SIMBA ya zamani.SIMBA CHUO CHA MAFUNZO

Mpigie debe Riz1.
 
Akili ya kuambiwa changanya na zako. Hao wametoka Simba yosso? Kweli mashabiki wa simba ni mambumbumbu.
 
Kuna mdau humu amewahi nambia Arsenal yangu ikivurunda huwa YANGA yetu inapata ushindi wa kishindo na hua haitokei zote zikapata matokeo!
 
Back
Top Bottom