Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Mwandish wa bbc anamuuliza jk na obama kuhusu hali ya misri ya mursi na maandamano ya wapinzani.
 
kweli kikwete ameelewa swali la mwandishi uyo wa BBC? amemungunya kizungu kupita kiasi
 
Masikini hili swali la huyu wa BBC sijui kama Baba Ritz atalijibu. Natamani Sheikh Yahya angekuwepo amwongee yale madubwasha apate confidence
 
swali la 2 kutoka kwa mwandishi wa bbc
hali tete in egypt

obama anajibu kuwa misri walienda kwenye uchaguzi wa demokrasia akachaguliwa mohd morsi
 
jk kichwa anajibu maswari kama ananawa vile hongera jk zidi kusonga mbele.
 
Kimsingi swali lingekuwa na mvuto kama angeuliza unaridhika na USIMAMIZI(MATUMIZI) ya misaada unayotoa walau ingemake sense
 
Obama anaulizwa kuhusu kinachoendelea huko Misri.

Amesema kwanza ni kuhakikisha interests za Marekani zinalindwa.

Pili pande zote zishirikiane kutatutua na Marekani itafanya kazi na pande zote husika.
 
Kapata wapi anabeba mabox huko US alafu anajifanya kuipondea Bongo eti 'vumbi'!

Kwanza, mimi siyo maskini. Umaskini siujui. Pili, kwani uongo bongo hakuna mivumbi? Tatu, sibebi maboksi kama unavyodhani.
 
Plz husituaribie siku !!! Sisi sio wapumbav kama yule anayeogopa mafisadi maana wanaweza hatarisha usalama wa nchi ! Tunajua anauza, ameuza na atauza kila atakachoweza ! jirani sio wapumbav na mabingwa wa kutembeza bakuli na kuomba-omba. Katuni la leo inatoa picha halisi !
Principles za kupiga wananchi mabomu, na kubaka wamama wajawazito huko mtwara ??? ...ungekuwa karibu lazima mdomo wako ungemwagika !!

Anaheshimu haki za binadamu,mwanadiplomasia mzuri, anamejitahidi kwa asilimia kubwa kutekeleza principles of demokrasia na ndio maana ktk wakati wake wamekuja maraisi wawili Usa na wakaacha kwenda jirani kwa wenzetu kwa 7bu hakuna kuheshimiwa kwa hakika za binadamu na uhuru wa vyombo vya habari.
 
Obama kwenye hotuba akijibu swali ametoa rai tuondokane na fikra za kuomba misaada bali tujadiliane nao kwenye fursa za biashara (business partnership) lakini rais wetu kikwete majibu yake yote yamejikita kwenye wamarekani watusaidie hiki mara kile.....kweli tutaendelea kama baba mwenye nyumba anategemea kuendesha familia yake kwa kuomba misaada kwa jirani?
 
Back
Top Bottom