Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Kikwete anatoa hutuba yake na ameanza kuelezea urafiki wa Tanzania na Usa na mchango wa Usa kwa Tanzania na sasa ni zamu ya Obama.


uyo mwandishi aliyeuliza maswalia( wa kwanza kuuliza) mambo ameuliza maswali ya kitoto hivyo,atakuwa ameandaliwa ayo maswali ,eti anauliza je kikwete unalizika na misaada ya marekani?
 
heeeeeeee hebu nijuzeni, nini kinaendelea/? bora ningeenda zangu saba saba kwa mzee wa totoz! mayb ningepata moolas.
 
Kiukweli jamaa kaulizwa swali jepesi sana kwa Obama.
 
sisi tunachagua mahitaji wafadhili km marekani wanatusaidia pale tunaposema tunataka hapa kutokana na umuhimu ex rukwa, ruvuma and mbeya

umeme
access to electricity to rural areas
 
Siku tunasema mdahalo kwa wagombea ni muhimu, mkakwepa. Chekshia Baba Ritz anavyohangaika. Tabasamu la aibu. Katiba ilazimishe Rais kuhojiwa
 
CNN wako Live toka Dar Es salaam,...

Kuna tofauti kubwa sana kati ya coverage ya CNN na TBC.....Ni kama Chuya na mchele vile


Yea CNN wako better zaidi.

Obama kasema kuwa Marekani ina model mpya.

Siyo tena misaada tuu bali biashara na ushirikiano (business and partnership).

Kwamba Africans should be able to feed for themselves.
 
malaria imepungua, vifo kwa watoto wachanga vimepungua
hiv aids maambukizi yaepungua
 
Wamepangiwa maswali na hata jk majibu alishapewa ndio maana ni maswali ya kumjenga jk. Jk anajiganyga tuuu
 
mcc inatekelezwa vizuri hasa kwa kujenga barabara ambazo ni muhimu na mkakati wa kuondoa tatizo la maji dar nao unaenda vema...by jk
 
naona mh abas Tarimba anampa hi obama
 

Attachments

  • tarimba.jpg
    tarimba.jpg
    51.9 KB · Views: 84
CNN wako Live toka Dar Es salaam,...

Kuna tofauti kubwa sana kati ya coverage ya CNN na TBC.....Ni kama Chuya na mchele vile

Naona coverage ya CNN ni mbovu ungilinganisha na muda bush alivyokuja
 
Kikwete: Kila mwanafunzi wa Kitanzania ana at least kitabu kimoja.
 
Kwanza pole.
Pili, haya ndo yanasemwa kila siku lakini ajabu mijitu akili zimeota ukoko tena watu wazima unasikia wanaimba eti ziara za joni mtembezi zinaleta mafanikio kila siku. Mafanikio gani, zaidi ya kwenda kuwapiga fiksi kila siku na data za urongo...sijui vifo vimepungua asilimia 98, mara sijui sekta ya afya imeboreshwa na hao wakisikia hivyo wanaombwa nishani na anazikusanya !!
Hospitali kama hiyo ingetakiwa kuwa na mashine hizo zaidi ya kumi... lakini hela hakuna ila za kuchapisha t shirts, kanga za obama, siajabu na chupi zipo bwererere. Za kununua vitafunwa zipo, na kufagia na kupiga deki barabara ili eti Obama aone sie bomba zipo (...pambaf na aliyetoa idea hii lazima ni mpumbav !!)... Uongozi wa inji hii ni janga kubwa sana !!

...Na hawa majizi wazungu koko ndo wanakuja na data za eti sisi ni moja ya nchi uchumi unakua sana.... sijui wanaongelea uchumi gani, au wakiangalia mitumbo ya kina Komba au yule RC wa Moshi ndo wanajua uchumi unakua ???
Sio kitu kibaya kutembelewa na raisi wa taifa kubwa kama Marekani ila kitu kinachonisikitisha juzi nilikwa MNH(Muhimbili National Hospital) kwakweli nilisikitika sana nilikuwa na mgonjwa alipata ajali na ikapaswa kufanyiwa kipimo Ct-Scan cha ajabu tukaambiwa mashine mbovu hivyo twende sehemu inaitwa High-tech tukapate hicho kipimo na gharama yake ni Ths 300,000/- basi ikabidi tufanye kama tulivyoagizwa ili mgonjwa wetu aweze kupata matibabu zaidi,lakini kitu ambacho najiuliza inakuwaje kukosekane kipimo kama hicho katika hospitali kubwa kama hiyo viko wapi vipaumbele vyetu na inakuwaje kwa wagonjwa wanotoka vijijini wakiwa na hali duni si wanafia hapo bila kupata matibabu maana gharama zenyewe ziko juu kupita maelezo.Vipaumbele vyetu viko wapi na viongozi wetu wanawaongoza nani kama hata afya za wananchi wao sio vipaumbele kwao au kwa kuwa wao na familia zao wanatibiwa nje ya nchi?Mnisamehe wadau kwa kutoka nje ya mada kidogo ila tuko na safari ndefu sana aise mapaka kufika nchi ya ahadi yaani kila idara tumefeli hakuna sehemu tunaweza kutamba kifua mbele kuwa tumeweza licha ya tambo za viongozi wetu hakuna kitu aise.
 
Kikwete anasema ameridhika kwa msaada wa usa kwa tanzania na anajaribu kuelezea alichokipata kutoka usa na anachotarajia kukipata kutokana maombi aliyotoa
 
Back
Top Bottom