Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Habari kamili.
 

Attachments

  • 1392470862971.jpg
    17.3 KB · Views: 89

Hii timu inaamsha mshawasha wa soka la Tanzania
 

Attachments

  • mbeya v simba 4 (2).jpg
    60.7 KB · Views: 660
Jamani nini kinaendelea huko Mbeya.......tumeshampiga MCC...??
 
Mnyama kaleweshwa na ubwabwa wa kyela,leo uwanjani mnyama full kusinzia.
 
Hapa nilipo kuna nyomi ya watu wabalaa!
idadi kama hii ilizoeleka kwenye game za EPL,.
baada ya miaka 3 nadhani tutajivunia zaidi ligi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…