Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Leo simba hawachomoki kwa mbeya city, Simba ni walaini sana...mziki wa mbeya city ni yanga tu wanauweza .
 
Sasa napitia vijiwe na matawi ya mbeya city watu wana hali wanaimba na kushangilia, nimetoka mafiat, sasa naenda sido
 
Watu na jezi zao wanaelekea uwanjani, na bendera na mavuvuzela yao
 
Simba leo anapata ushindi wa kishindo na kuwaacha watu wa Mbeya city na maumivu
 
Mkuu mpira una maajabu yake ila leoushindi wa simba sawa na kunguru kumnyea binadamu ambayo sio shabaha bali ni bahati tu

Kwani unadhani mbeya city ndo ananafasi ya kushinda kirahisi?
 
Simba Leo Mnabeba Mbili Kwa Moja,siku Hizi Hakuna Mpira Wa Historia. Mbeya City Piga Simba,sisi Tupo Nyuma Yako
 
Watu wamebeba tiketi zote sasa zinauzwa elfu kumi kumi
 
Wapo mkuu nafikiri wamewaacha watu watumie fursa
 
Wapo mkuu nafikiri wamewaacha watu watumie fursa

Haipendezi na haifurahishi hatakidogo kuwaachia wahuni walangue tikiti halafu wawapige cha juu wananchi,huu ni uhuni hiyo kazi inaweza kumalizwa tu na Mwenyekiti ama katibu wa FA mkoa wa Mbeya kwa sbb kwa vyovyote mmoja kati yao ndiye atakuwa msimamizi wa mechi hiyo ukiwaacha maofisa kutoka tff!!
 
WABHEJASANA kwanini usibadirishe kichwa kuwa Mbeya City vs Simba? Maana Mbeya city ndio wako nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom