Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

WABHEJASANA kwanini usibadirishe kichwa kuwa Mbeya City vs Simba? Maana Mbeya city ndio wako nyumbani.

Simba ni wakongwe kuliko mbeya city,pili simba ni maarufu kuliko mbeya city na mwisho ni ni taratibu tu zinazotumiwa na fifa na washirika wake katika kumpa kipaumbele mwenyeji.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu waache wale raha bana si unajua tena bongo tambalale
Haipendezi na haifurahishi hatakidogo kuwaachia wahuni walangue tikiti halafu wawapige cha juu wananchi,huu ni uhuni hiyo kazi inaweza kumalizwa tu na Mwenyekiti ama katibu wa FA mkoa wa Mbeya kwa sbb kwa vyovyote mmoja kati yao ndiye atakuwa msimamizi wa mechi hiyo ukiwaacha maofisa kutoka tff!!
 
Kiukweli Mbeya City ndio timu nzuri,bora na ya kupigiwa mfano.
Jezi ya mbeya city kwa DSM 25000 na ukienda Mbeya ni Shilingi 15000,Mbeya City inaonyesha mfano kuwa kila jambo linawezekana kama ubabaishaji utawekwa.
Mbeya City inakipiga na Simba,ningependa Mbeya City ipate ushindi leo hii.
Lakini pia ili kuonyesha kuwa si YANGA na SIMBA basi ligi ya mwaka huu kombe liende kwa Mbeya City ama Azam

Ona Mbeya City inavyoonyesha kuwa SOKA ni Biashara na si kelele tu mitaani
1011088_679204205476898_2104920125_n.jpg

1619074_411530372326679_1444357775_n.jpg

DSC_0449.JPG

IMG-20140215-WA0010.jpg

IMG-20140215-WA0015.jpg

DSC_0439.JPG

DSC_0441.JPG

DSC_0453.JPG

IMG-20140215-WA0004.jpg

IMG-20140215-WA0005.jpg

IMG-20140215-WA0006.jpg

PICHA KWA HISANI YA Mbeya Yetu
 
Kunathread tiyari ya wabejasana changia kule acha ubinafsi
 
Leo Mbeya city hawataamini kinachoenda kuwatokea.
 
Watu wamebeba tiketi zote sasa zinauzwa elfu kumi kumi

tukiacha hilo la tiketi mkuu nimeona magazeti yakisema kiongozi mmoja wa MCC alikuwa akifanya mipango ya kuuza mechi, hii kitu ni kweli mkuu? maake mikia kwa kununua mechi ni mwisho!
 
Mkuu nasikia ni mwakilishi wa redio clouds mbeya na ameonekanika akilandalanda mtaa ni suleiman matola kocha msaidizi wa simba
tukiacha hilo la tiketi mkuu nimeona magazeti yakisema kiongozi mmoja wa MCC alikuwa akifanya mipango ya kuuza mechi, hii kitu ni kweli mkuu? maake mikia kwa kununua mechi ni mwisho!
 
Wakati unataradadi....ukiisha huo twasubiri mtanange wa city Na chelsea
 
Mnyama akifia sokoine itakuwa raha sana.
watu watumie maliasili bure kabisa.
 
Back
Top Bottom