CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Tulia kijana.We ndie unae tia nux hii mechi.
Tulia kijana.We ndie unae tia nux hii mechi.
Unataka kusema wameroga!!!!Naona MCC wameamua kutumia plan 'B' baada ya kuona tumewakamata.
Maana nasikia kuna bonge la wingu ili eti mechi istop,hapa ni kipigo tuu nyambafu.
mkuu unatumia tv za wazee wa tiba mbadalakunagoli nime liona likiingia golini mwa simba dakika ya 86.
Acha us**nge usijifanue unajua sana wewe k**a
engmtolela tunashukuru kwa taarifa
Kunagoli nime liona likiingia golini mwa Simba dakika ya 86.
Dk ya 16 mcc1-1simba
mbona hutupi update za maana? yambaf
Goooooooooooooo,tumewakosa aise duuuu.Mnyama ni nouma,chezeya tabwe weye.
time goes on...:A S 13::A S 13:Dk ya 24 mcc1-1simba
Aliepata matokeo
Safi sana mnyama.