PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 445
.....kwa asilimia 100; Penati waliyopewa Mbeya City si HALALI.kwa huyo refa wa mwanza sidhani kama Simba watapata ushindi hapo.
.....kwa asilimia 100; Penati waliyopewa Mbeya City si HALALI.kwa huyo refa wa mwanza sidhani kama Simba watapata ushindi hapo.
Sorry mkuu sikulifikilia hiloo, asante kwa kunipa somo
Aggrii majitu mengne bhnaa hata hayako aggressive yanakimbilia kuanzisha uzii saa nne asubh ili wawe wao afu wanashindwa simamia show, sio lazma mtu atembeleee page zote ili ajue n kip knaendelea, jifunze kwa wenzako, wLe wapuuz wasiasa wanavofanya yaah na vtu kma hvo
nahisi kocha aliona kama imekuwa toomuch kwa simba ikiwa inashambulia.
....kwakweli kuna kitu siyo bure. ata makocha wa Simba wameliona mpaka wakaamua kwenda kuwauliza kulikoni. Anyway ngoja Simba iendelee kuchezwa mpira vizuri kama kawaida itafika wakati marefalii wenyewe wataona aibu.
tiba inadundasimba sikio la kufa
Hata mm nilyeiona kupitia tv, nakubaliana na ww mkuu, labda kama tafsiri ya mkono iwe tofauti......kwa asilimia 100; Penati waliyopewa Mbeya City si HALALI.
Acha us**nge usijifanue unajua sana wewe k**a
hawa wako uwanjani au wanajiandaa kuingia!somewhere at sokoine stadium..
![]()
Mkuu kwa huyo refa akiendelea kuchezesha hivyo itabidi tukuombee kwa invisible akwambie utengue kauli.Wapi Masuke ?
Sorry mkuu sikulifikilia hiloo, asante kwa kunipa somo
.....kwa asilimia 100; Penati waliyopewa Mbeya City si HALALI.
Acha us**nge usijifanue unajua sana wewe k**a