Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Atakua kachomoa na haja kubwa huyo.Gooh Mnyama Kauwa
Atakua kachomoa na haja kubwa huyo.Gooh Mnyama Kauwa
kaanza kupunguza % za ban kwa mandietatabweeee
Opsssss!Goooool simba1 mcc1
upo uwanjani?Simba wanasawazisha ktk dakika ya 56 mfungaji akiwa ni ramadhan singano
Azam tv wanaonyesha bhana.upo uwanjani?
Ngassa anachukua mipira tu.KUTOKA COMORO Fuuull TIME Komoro 2-5 Young Africans Yanga inasonga mbele kwa jumla ya mabao 12-2 - Mabao ya Yanga yamefungwa na Ngassa (Mabao matatu), Kiiza na Msuv
Subiri game iishe kaka!kaanza kupunguza % za ban kwa mandieta
hahahahaaaaaaaaaa,poleopsssss!
Kausha mkuu!maana kitu kinagonga.Hawa MCC vipi tena,
mnataka kumuokoa mandieta na adhabu.
upo uwanjani?
KUTOKA COMORO
Fuuull TIME
Komoro 2-5 Young Africans
Yanga inasonga mbele kwa jumla ya mabao 12-2
- Mabao ya Yanga yamefungwa na Ngassa (Mabao matatu), Kiiza na Msuv
ya wapi mkuu unataka..lete matokeo!