tena uharo! lakini hatoki!Atakua kachomoa na haja kubwa huyo.
tena uharo! lakini hatoki!Atakua kachomoa na haja kubwa huyo.
Kwahiyo Ngassa atakuwa anaongoza kwa magoli kwenye hii hatua(Magoli 6) bila shaka na kule watakuwa wamempa mpira wake kwa hiyo hatrick,akaze sasa awanie kiatu cha dhahabu
MCC 1-1 Simba:what:
Kausha mkuu!maana kitu kinagonga.
We ndie unae tia nux hii mechi.Naona MCC wameamua kutumia plan 'B' baada ya kuona tumewakamata.
Maana nasikia kuna bonge la wingu ili eti mechi istop,hapa ni kipigo tuu nyambafu.
Mbeya city wanaleta changamoto sana katika ligi. Nadhami mikoa inayotoa timu za ligi kuu ina la kujifunza kuanzia mwamko wa wakazi wa mji husika hadi namana ya kujenga timu kuondoa utawala wa simba na yanga.... We have A am,we have Mbeya City.... Well done
Magali sita ya ngassa leo ndio mwisho wake atawania kiatu cha dhahabu wakati timu tia tia maj kwa waarabu kawafunga hao hao watumbatu wavuvi wa vibua na kolekoleKwahiyo Ngassa atakuwa anaongoza kwa magoli kwenye hii hatua(Magoli 6) bila shaka na kule watakuwa wamempa mpira wake kwa hiyo hatrick,akaze sasa awanie kiatu cha dhahabu
kweli kabisa mkuu..mana kaingilia mlango wa kutokea.We ndie unae tia nux hii mechi.
Mvua inaanza apa uwanjani
yeah!!:what: