CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Mkuu ngoja ntakujibu baadae.Mandieta umeshiriki dili la Sahel na Rage nn?
Mkuu ngoja ntakujibu baadae.Mandieta umeshiriki dili la Sahel na Rage nn?
Aggrii majitu mengne bhnaa hata hayako aggressive yanakimbilia kuanzisha uzii saa nne asubh ili wawe wao afu wanashindwa simamia show, sio lazma mtu atembeleee page zote ili ajue n kip knaendelea, jifunze kwa wenzako, wLe wapuuz wasiasa wanavofanya yaah na vtu kma hvo
aiseee ni noma sana...Hatariiiii simba wanakosa goli la wazi apa
mkuu mmeanza tena kushabikia droo??
atazoea tu kidogo kidogo tu..Bado 1-1 il a Zahorro Pazi amekosa nafac ya waz
ha,haa,haaaaaa ama kweli kitu kinagonga ngoja tusubiri dk 90 tujue siri ya urembo!!Mkuu ngoja ntakujibu baadae.
Huyo kocha wa Simba huwa anataka mwenyewe matokeo mabovu, utawatoaje Singano na Chanongo halafu utarajie timu ishambulie.
kwa nini mkuu unasema hivoodroo si nzuri sana kwa timu zote