Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

.....mshika kibendera ana mpango gani na Mbeya City???? Kila wakati kibendera kiko juu pindi Simba inapoweka mipango ya kusawazisha.
Yani mkuu we acha tu.
Hawa maamuzi wamepewa kitu kidogo si bure.
 
Hii mechi simba bado ana uwezo wa kusawazisha na kuongeza.
ila wasichoke kipindi cha pili tu.
 
Tujuzeni nani katupia hiyo penalt kwa kamba,Yeya au Mazanda?
 
mbeya city funga hao simba wakamfukuze Rage.
 
Back
Top Bottom