Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Dk ya 40 mcc1-simba0

We jamaaa ndo ulieanzisha uzi updates unaclick chin ya uzi wako kunasehem wameandika edit status,hapo hapo ndo unaclick den unaweka kama kunagoal au tukio lolote la maaana den unasave na kuupdtes,we hujifunz toka kwa wenzakoooo?
 
Duh,huyu refa bweg.e sana,yani sisi tumeomba ban atoi ata penalt?
Sikunyingine usipende kumdhamini mwehu. Leo wadau wamekuombea msamaha kwa pilato Sikunyingine watakuachia majanga yako.
 
benchi la simba lilikuwa linamlalamikia mwamuzi.
kocha loga alikuwa anamuonysha mshika kibendera kuwa kila mara ananyanyua tu kibendera.
 
Tathimini inaonyesha mpira umebalance japo mnyama anashambulia mfululizo huku mbeya city wakishambulia kwa kushtukiza
 
We jamaaa ndo ulieanzisha uzi updates unaclick chin ya uzi wako kunasehem wameandika edit status,hapo hapo ndo unaclick den unaweka kama kunagoal au tukio lolote la maaana den unasave na kuupdtes,we hujifunz toka kwa wenzakoooo?

umenichekesha sana kiongozi..... kwaaa! kwaaaa!
 
Yani mkuu we acha tu.
Hawa maamuzi wamepewa kitu kidogo si bure.
....kwakweli kuna kitu siyo bure. ata makocha wa Simba wameliona mpaka wakaamua kwenda kuwauliza kulikoni. Anyway ngoja Simba iendelee kuchezwa mpira vizuri kama kawaida itafika wakati marefalii wenyewe wataona aibu.
 
Sorry mkuu sikulifikilia hiloo, asante kwa kunipa somo
We jamaaa ndo ulieanzisha uzi updates unaclick chin ya uzi wako kunasehem wameandika edit status,hapo hapo ndo unaclick den unaweka kama kunagoal au tukio lolote la maaana den unasave na kuupdtes,we hujifunz toka kwa wenzakoooo?
 
...Henri Joseph mpaka sasa hivi ameonyesha kiwango cha hali juu, ukizingatia leo anacheza kama Beki wa pembeni (namba 3)
 
somewhere at sokoine stadium..
1959232_431059040361081_275018321_n.jpg
 
umenichekesha sana kiongozi..... kwaaa! kwaaaa!

Aggrii majitu mengne bhnaa hata hayako aggressive yanakimbilia kuanzisha uzii saa nne asubh ili wawe wao afu wanashindwa simamia show, sio lazma mtu atembeleee page zote ili ajue n kip knaendelea, jifunze kwa wenzako, wLe wapuuz wasiasa wanavofanya yaah na vtu kma hvo
 
Back
Top Bottom