CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Kwani mpira umeisha mkuu?Kwa hali ilivyo Mkuu, Simba atakalishwa. Hii ni mechi ya 3 mfululizo Simba anaanza kufungwa.
RIP mandieta.
Last edited by a moderator:
Kwani mpira umeisha mkuu?Kwa hali ilivyo Mkuu, Simba atakalishwa. Hii ni mechi ya 3 mfululizo Simba anaanza kufungwa.
RIP mandieta.
Dk30 mcc1 mikia1
Mkuu Makoye Matale mandieta amefanyaje,mbona naona anaaga humu jamvini?!
WABHEJASANA ban ya maisha inamhusu huyu ndugu yako simba tukifungwa...
na kwa upepo unavyovuma walahi tunampoteza!wanao mdai wamalizane mapemaKaomba ban ya maisha endapo Simba itafungwa.
Kwa mpira upi?
Mesi anang'aa apa uwanjani
Kaomba ban ya maisha endapo Simba itafungwa.
moja moja?
moja moja?
Mapovu ya nini? Mikia mwaka huu lazima mushuke daraja.Hawa wasng wa mbeya ct wanapndlewa sn
Naona umekua Petro kwa kunikana au siyo.WABHEJASANA ban ya maisha inamhusu huyu ndugu yako simba tukifungwa...
Hawa wasng wa mbeya ct wanapndlewa sn
Mkuu dai kiingilio chako nasikia Vingunguti watu wanachapana makonde kudai kiingilio chao.