Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Hivi huyu jamaa walikuwa wanamuita TAMBWE magoli aliachwa dirisha dogo la usajili ?
 
Last edited by a moderator:
hamna update ni vijembe tu na ujinga. mamburura mmekutana leteni update bana
We kijana! Jifunze adabu. Yani sisi wote humu ni mamburura? Unajua mimi ndio nimemfunza mchezo mbaya mama yako?
 
.....mshika kibendera ana mpango gani na Mbeya City???? Kila wakati kibendera kiko juu pindi Simba inapoweka mipango ya kusawazisha.
 
Back
Top Bottom