Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Piga mikia hao. Naleo wakivunja viti hakikisheni hawatoki uwanjani mpaka wanalipa.gooooooool...mcc 1
Piga mikia hao. Naleo wakivunja viti hakikisheni hawatoki uwanjani mpaka wanalipa.gooooooool...mcc 1
hawa kiboko yao yanga tu!natamani kumsikia huyo loga na yule amisi wao,maana wanaongea sana!MCC jangili!
du tunapoteza mtu jamvini maisha aiss!
Kweli uko Mbeya hata majina huwajui? mechi droo hiyoBeki wa simba aalikua ameunawa kwenye 18
Join Date : 24th January 2012
Posts : 3,783
Rep Power : 1164
Likes Received505
Likes Given0
mkuu usiwe mchoyo wa LIKE
hapo ulipo ni wp mkuu? mana ahadi zngne znasababishwa na mazingira.Wakuu naombeni tuanze kuagana maana hatutaonana tena humu jamvini. Maana sipo tayari kukanusha nilichokiomba.
Wamemshika jini mata.k.o hao.Jiandae kufungua ID mpya mkuu maana hii ya mandieta ban ya maisha inanukia....
Wakuu naombeni tuanze kuagana maana hatutaonana tena humu jamvini.
Maana sipo tayari kukanusha nilichokiomba.
Wacha washambulie ila wasilete madhara langoni kwetu.Simba wanashambulia langp la mbeya city