Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Wakuu naombeni tuanze kuagana maana hatutaonana tena humu jamvini.
Maana sipo tayari kukanusha nilichokiomba.

Ha ha ha haaah....na zile ID's nyingine nazo zinahusika na hii ban?
 
Wakuu naombeni tuanze kuagana maana hatutaonana tena humu jamvini.
Maana sipo tayari kukanusha nilichokiomba.

Kwa hali ilivyo Mkuu, Simba atakalishwa. Hii ni mechi ya 3 mfululizo Simba anaanza kufungwa.

RIP mandieta.
 
Last edited by a moderator:
ndomyana vizuri ukatoa credit kwa hizo picha mkuu. Watu wameaga nyumbani kwenda kutafuta ugali ndio wakapata hizo picha.
 
Last edited by a moderator:
hamna update ni vijembe tu na ujinga. mamburura mmekutana leteni update bana
 
Kambusu mamba shavuni.......kaomba ban ya maisha endapo simba akifungwa.

Kama ni hivyo nadhani tumuombee kwa mungu ili watoke walau sare asipate hiyo ban ya maisha,lakini kwa nini n yeye anacheza mchezo wa kitoto?!

Mkuu mandieta nakuombea baada ya dakika 90 mchezo huu utakuwa sare ama simba watakuwa washindi ili tusikukose wewe ni mdau mkubwa sana wa sport!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom