Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

rose ktk manyara anaomba awe chumvi.,wana wa dodoma wanachelewa,na hakuna watu wanaopigika kama wana dodoma uongo wamejibu kweli
sehemu zote ambazo CCM ina mizizi ndiko sehemu ambako wananchi wa huko wana pigika mbaya kabisa...
 
Mnyika anamaliza sasa anapanda mbunge wa viti maalum toka morogoro. Anawaambia vijana kaziyake iwe kuleta mabadiliko.
 
Maandalizi ya uwanja wa mkutano yanaendelea,makamanda wote wapo Dodoma Tangu jana.mkutano utaanza saa saba mchana huu.

Wagogo wanatakiwa wapigwa msasa kweli kweli waachane kabisa na magamba wabadilike mambo ya chama Tawala kushika hatamu yalisha pitwa na wakati
 
Anawaambia wa2 wa dom waache woga, woga ni dhambi n unachelewesha maendleo
 
mnyika anaondoka hapa kuwai mashambulizi ndani ya bunge.
In stalet ya blue
 
Mnyika anarudi mjengoni kuwabana kwny sheria ya biashara
 
Back
Top Bottom