Mnyika anasema,cdm hawapo tayari kuuziwa,mbuzi kwenye gunia kuhusu katiba.
Ameahid cdm ipo kwenye hatua ya kuchambua wasifu wa kila mjumbe wa katiba.
Kwa wanavyuo anawashukuru kwa kujitoa kwao.
Anasema kwenye mkutano wa bunge hili,lile swala la mikopo ya elimu ya juu linarudishwa mlango wa nyuma.