Duh hii nisawa na haki ya kisheria kabisa nafarijika sana kama mwana mapinduzi wa magamba kwa upamde huu wa Meru kusikia kina Agwe nao wako njiani kutuunga mkono kwenye mapinduzi ya magamba ila pamoja na yote Lusinde asirudi tena Meru iwe kwa mabaya wala mazuri tutamuonja tu........
napongeza harakati za kuikomboa DODOMA jamni sisi wenzenu tumechelewa kukumbatia kijani kijani ebu natamani ningekuwa hapo home nivute hata wazee wangu wasikie maneno yenye matumaini kutoka kwa makamanda maneno yenye kufikirisha na kujenga taswira ya kimaendeleo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.