Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Jamani mie niko ndani ya uwanja wa jamhuri na mkutano ushaanza, tuko na zitto kabwe, joshua nassari na wabunge wingine...... Nassari kasindikizwa na madiwani wa arusha....
 
Acha uongo unaripoti kutoka nkuhungu nn...mbowe hajafika

Unakurupuka,mtoa matangazo ndo kakosea,mimi naripoti kwa muongozo wake,nikwel alisema kaingia ila amejichanganya so nafuta kauli yangu!
 
Mtupe na taarifa za gharama mtakazozitumia kwenye kufanikisha mkutano.
Pipoooooooooooooooz
 
rose ktk manyara anaomba awe chumvi.,wana wa dodoma wanachelewa,na hakuna watu wanaopigika kama wana dodoma uongo wamejibu kweli
 
Back
Top Bottom