UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

fanya kama mandela utakapoongea na media sema maneno haya "NIMEWASAMEHE WATESI WANGU NA MUNGU AWASAMEHE KWANI HAWAKUJUA WALILLOTENDA"
 
Mungu mkubwa. Bible inasema usiogope wauao mwili mwogope anayeweza kuua mwili na roho yako pia naye ni yule mungu wa kweli wa wakristo wote.
 
mkuuu nilikuwa karibu na dr na nimempiga sura yake picha ku2mia simu yangu nokia c3 cha kushangazi sijui jinsi ya kuweka humu janvini unaweza nifundisha

ukitaka kupost pembeni yake kuna button imeandikwa attach basi ukibonyeza hiyo itakupeleka kwenye sehemu itakayo kuwezesha kubrowse picha unayotaka kuattach..
 

Ahsante mkuu.. tetesi hizi zinaharufu ya ukweli.
 

waambia bana kamanda wa ukwel amerud serikal ijipange upya.
 
Maneno bila vitendo hayafai leteni picha,mnatukwaza sana jamani.
 
Dr. Ulimboka

Njooni hapa Calabash upooze uchovu na Goulash na Cattle lite ... bill ni yangu
 
Tunashukuru kwa picha iliyorushwa na Matola, tunaomba more fotoz wadau mliokwenda eneo la tukio.
 
Last edited by a moderator:
Aiseeeee baba yangu nimepiga picha nyingi sana naomba mnifundishe jinsi ya kuweka nimepiga na simu then hapo nilipo natumia simu

kuna icon ya attachements chini wakati wa kuandika meseji
 
Kwa uhakika Mungu ni Mkuu. Karibu Dr Uli. Tafadhali sema kwa ufasaha kile kilichotendeka. Andaa press Release useme yote. Hongera kwa familia yako kwa kurudi salama. Serikali inafahamu utaiumbua, kamwe usikubali mchezo wowote wa kuficha ukweli wako. Karibu nyumbani. You are really Hero and sober!
 
marehemu mtarajiwa mwache aje kuaga kwa mara ya mwisho

Mungu amempa uzima na amerudi kwa kutembea ila siku zote shetani huwa against na maamuzi ya Mungu......yeyote aendaye tofauti na matakwa ya Mungu basi hana tofauti na Shetani.


Ulaaniwe ewe shetani.
 
Za leo wanaJF! Nimemaliza ban siku njema. Siku ambayo Public Witness No. 1(PW1),Dr. Stephen Ulimboka amerejea Bongo. Bahati njema muda wa kuwasili kwake nilikuwa Uwanja wa Ndege. Nikawa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kumshuhudia akiteremka ngazi kutua Bongo. Akizishuka ngazi za umahututi hadi udhabiti. Ngazi za afya mgogoro na kufikia afya njema. Nililia sana nilipomuona. Nilililia haki na jinsi inavyokandamizwa na wadhalimu-CCM.Naam,Ulimboka is back. More to come...
 
Mwisho wa hii Serikali dhalimu haupo mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…