Updates: Maandamano ya CHADEMA Arusha, Hai, Mwanga na Same

Updates: Maandamano ya CHADEMA Arusha, Hai, Mwanga na Same

Haya ma vazi tuu nawala tanzania nzima hayafiki 500.mungu akipanga lake hata ukiwa umevaa nn au uko chumbani.utatangulia.mzalendo wakweli toka moyoni na c ushabiki usikate tamaa.
 
Kama askari wa ghasia huwa najisikia na kukubali hatia ya kulaumiwa kwa mambo mengine juu ya kazi yangu ila kwa ili la kutaka kuvunja amani na utengamano wa kitaifa kwa maslahi ya watu binafsi kuwafanya ndugu zangu waangaike kuwa wakimbizi wa nchi jirani. Huwa nachukizwa.

Hakika sitakubali na sitakuwa na huruma na muandamanaji yeyote wa kariba hii. Nitapiga virungu kwa taaluma yangu bega bega tumbo nliyojifunza CCPbila kuchoka na bila kuwa na huruma kwa mharifu yeyote yule muandamanaji.

Hapa nilipo nina kibuyu cha maji, batton, ballistic helmet, ballistic vest, Anti-riot gun, buti langu nimefunga vizuri, sura ya mbuzi tabasamu la ng'ombe sicheki cheki ovyo ovyo..nimeconcetrates kufikiri mustakabali wa taifa langu, nimevaa body armour,

Sikubaliani na serikali moja kwa moja kwa yote najua ina mapungufu mengi saana kimfumo na kiutendaji ila namna ya CDM wanavyodai haki ndo inanishawishi nisiwe na huruma nitakapokuwa mastari wa mbele.

Mungu ibariki Tanzania,
Mumgu ibariki Afrika.

Kidding
 
acha uzuzu.Polisi Wa wapi wewe
Polisi hanaga akili ili upige si mpaka kamanda akuamrishe.kiruguuuuu piga.ndo unapiga.
sisi hatuamuriwi kupiga.subirini na ako ka mshahara kenu
 
Makamanda akikisheni mnaaga kwa wazazi wenu na wake zenu mnakwenda vitani kuna uwezekano wengine wasirudi kabisa wengine wakarudi vilema.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.

tukimaliza hili lakatiba tunakugeukia we ritz muuza madawa ukanyongwe
 
acha uzuzu.Polisi Wa wapi wewe
Polisi hanaga akili ili upige si mpaka kamanda akuamrishe.kiruguuuuu piga.ndo unapiga.
sisi hatuamuriwi kupiga.subirini na ako ka mshahara kenu

Kamshahara ako ndo kamemsomesha mdogo wangu mpaka amegraduates na kuwa mkaguzi wa hesabu za serikali.
Don't ignore!!
 
mshahara wenyewe unalipwa laki 2 halafu unaongea utumbo tu

Nieleweke kamshahara haka haka ka laki mbili ndo kamemsomesha mdogo wangu na kuwa mkaguzi wa hesabu za serikali.

Nahisi kanatosha! Na kwa hili amani ya nchi kwanza mshahara baadae.

Over my dead body waharifu wa kariba ya kuandamana!
 
MAU MAU, FIKRA HURU mko wapi majasusi tuanze maandamano ya kukomboa nchi..MAU MAU NJOONI NA MABOMU YA KUTOSHA
 
Kamshahara ako ndo kamemsomesha mdogo wangu mpaka amegraduates na kuwa mkaguzi wa hesabu za serikali.
Don't ignore!!

angeweza kuwa zaidi ya hapo.pia ungekuwa na mambo mazuri kama ungekuwa na mshahara mzuri.huoni karaha sisi tunaandamana kwa utashi wetu wewe unakuja kupigana.nyie Polisi akili mliacha uwanja Wa damu
 
Kwani chadema wanauza mikate siku hizi au nimeelewa vibaya...maana kila nikisoma naona neno mikate lina tajwa..
Lema si kafungua Bakery mpya pale unga ltd.anatangaza biashara yake.
 
Na hivi depo mpya imemwaga..hawa askari wapya wanalalamika eti afande tunapoa!! ...kazi za majeshi morali kwanza vingine baadae.
 
Polisi wamejaa barabarani na washa wash, mabomu bunduki kibao halafu CDM wanawaangalia tu.Wamepigwa chenga
 
Maandamano wilaya ya hai jamani lini????
[h=1]Ratiba ya maandamano kesho jimbo la Hai[/h] Kwa niaba ya Mwenezi CHADEMA Jimbo la Hai.

Jimbo la Mwenyekiti wa Chama Tunatangaza ratiba ya Maandamano Kesho 20/09/2014.

Maandamano yataanzia Pale CCM(kabla ya kwa wasomali) saa 2 kamili asubuhi.

Kundi jingine Litaanzia Stand Mpya Tuaanza kujipanga pale check point na Kuelekea makao makuu ya chama wilaya.

Kujiunga na kundi litakaloanzia Kule Kambi ya raha..

Wananchi wote wa Hai wenye Mapenzi ya kweli na nchi yao. Muda ndiyo huu wakuuonyesha Ulimwengu ni yepi yanayoendelea nchini kwetu.

Wakati ndiyo huu.
Hiyo hapo ratiba
 
Nieleweke kamshahara haka haka ka laki mbili ndo kamemsomesha mdogo wangu na kuwa mkaguzi wa hesabu za serikali.

Nahisi kanatosha! Na kwa hili amani ya nchi kwanza mshahara baadae.

Over my dead body waharifu wa kariba ya kuandamana!
Kuandamana si uhalifu, ni haki ya raia kwa mujibu wa Ibara ya 20 ya katiba ya JMT 1977, na sheria ya vyama vya Siasa 1992 Ibara ya 11.
 
Back
Top Bottom