Updates: Maandamano ya CHADEMA Arusha, Hai, Mwanga na Same

Hai hawawezi andamana hamna mazwazwa kule mazwazwa wapo mbeya Mwanza na Arusha
 
haa haa, hiyo ndo sifa ya polis wa tanzania, kuua raia wasio na hatia.

Mkuu uvuruge amani halafu bado unajiona huna hatia? Utagundua kosa lako ukiwa gerezani haya kila la heli wapitie wenzio muende.
 
Najiuliza Tu, kipi kitakachofuatia baada ya hayo maandamano? Yaani, bado hatujafunzwa na historia ya maandamo hapa Tanzania? Wanaotufanya tuandamane wanakuwa na political shield hata wakikamatwa. ILA wenzangu na sisi ndo hivyo tutasweka Mia kwenye kadefender.

tukiweza, kujiuliza na kutafakari kwa nini, na kwa ajili ya nani, ili iweje... Itakuwa vema.
Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha, ujinga na weledi, uwoga na ushujaa, uhai na kifo.
kwa maandamo yaliyotokea kabla, waliokufa .. Kuna mabadiliko yoyote yalitokea zaidi ya kuzikwa na bendera za chama??
 
Mnaoandamana mnaanza saa ngapi?

attachment.php

Mbwembwe tu hamna kitu,mbeya mtiti wake wanaujua siku 3 hakuna kulala mpaka Rais wa mbeya alivyokuja kusuluhisha,makombati hayo,virungu,risasi havijawahi shinda nguvu ya umma.
 
Kamanda unaomba kwa nani tena unatakiwa wewe mwenyewe uende kwenye maandamano utuletee update au unaogopa risasi za moto.

Mkuu nashangaa wanahimiza maandamano wakiwa nyumbani nyuma ya keyboard.
 
attachment.php

Mbwembwe tu hamna kitu,mbeya mtiti wake wanaujua siku 3 hakuna kulala mpaka Rais wa mbeya alivyokuja kusuluhisha,makombati hayo,virungu,risasi havijawahi shinda nguvu ya umma.

Mkuu naomba uende utupe update ukiwa eneo la tukio na siyo nyuma ya keyboard.
 
Huu uzi umekaa ki~umbea flani ivi na kinafiki hata aliye utundika ameshindwa kusema kuwa wilaya ya hai, same hazipo Arusha bali ni Kilimanjaro.... Peopleeeeesss*3...
 
Mkuu uvuruge amani halafu bado unajiona huna hatia? Utagundua kosa lako ukiwa gerezani haya kila la heli wapitie wenzio muende.
haa haa kuandamana kuna vurugu amani gan? Labda amani ya umagambani mkuu. Mkuu kinachofanywa na jeshi la polis ni haramu na hakika.
 
SI FAMILIA zenu NA NDUGU ZENU PIA TUNAKAA NAO HUKU KITAA

WATAKOMA

Kama askari wa ghasia huwa najisikia na kukubali hatia ya kulaumiwa kwa mambo mengine juu ya kazi yangu ila kwa ili la kutaka kuvunja amani na utengamano wa kitaifa kwa maslahi ya watu binafsi kuwafanya ndugu zangu waangaike kuwa wakimbizi wa nchi jirani. Huwa nachukizwa.

Hakika sitakubali na sitakuwa na huruma na muandamanaji yeyote wa kariba hii. Nitapiga virungu kwa taaluma yangu bega bega tumbo nliyojifunza CCPbila kuchoka na bila kuwa na huruma kwa mharifu yeyote yule muandamanaji.

Hapa nilipo nina kibuyu cha maji, batton, ballistic helmet, ballistic vest, Anti-riot gun, buti langu nimefunga vizuri, sura ya mbuzi tabasamu la ng'ombe sicheki cheki ovyo ovyo..nimeconcetrates kufikiri mustakabali wa taifa langu, nimevaa body armour,

Sikubaliani na serikali moja kwa moja kwa yote najua ina mapungufu mengi saana kimfumo na kiutendaji ila namna ya CDM wanavyodai haki ndo inanishawishi nisiwe na huruma nitakapokuwa mastari wa mbele.

Mungu ibariki Tanzania,
Mumgu ibariki Afrika.
 
Kwani chadema wanauza mikate siku hizi au nimeelewa vibaya...maana kila nikisoma naona neno mikate lina tajwa..
 
Kama askari wa ghasia huwa najisikia na kukubali hatia ya kulaumiwa kwa mambo mengine juu ya kazi yangu ila kwa ili la kutaka kuvunja amani na utengamano wa kitaifa kwa maslahi ya watu binafsi kuwafanya ndugu zangu waangaike kuwa wakimbizi wa nchi jirani. Huwa nachukizwa.

Hakika sitakubali na sitakuwa na huruma na muandamanaji yeyote wa kariba hii. Nitapiga virungu kwa taaluma yangu bega bega tumbo nliyojifunza CCPbila kuchoka na bila kuwa na huruma kwa mharifu yeyote yule muandamanaji.

Hapa nilipo nina kibuyu cha maji, batton, ballistic helmet, ballistic vest, Anti-riot gun, buti langu nimefunga vizuri, sura ya mbuzi tabasamu la ng'ombe sicheki cheki ovyo ovyo..nimeconcetrates kufikiri mustakabali wa taifa langu, nimevaa body armour,

Sikubaliani na serikali moja kwa moja kwa yote najua ina mapungufu mengi saana kimfumo na kiutendaji ila namna ya CDM wanavyodai haki ndo inanishawishi nisiwe na huruma nitakapokuwa mastari wa mbele.

Mungu ibariki Tanzania,
Mumgu ibariki Afrika.

mshahara wenyewe unalipwa laki 2 halafu unaongea utumbo tu
 
HIMA! HIMAAAA!,Tanzaniaaaaa....
 
Back
Top Bottom