Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Wa Jikoni anatonya kwamba 'e CCM yajaga gete'.
Hawana pa kutokea.
Baadhi ya dondoo muhimu:
Nawasilisha. Nalala.
Tuonane kesho wakati wa mnyukano wa mwisho.
Nimshukuru Wa Jikoni.
Hawana pa kutokea.
Baadhi ya dondoo muhimu:
- Wamama (ambao CCM ndo ina amini ni majuha na mtaji wao) wana msemo wao "Tunakula CCM, tunalala Chadema".
- Vijana watiifu kutoka majimbo ya ukombozi, waliojitolea muda, hali, mali na maisha yao kuhakikisha Chadema kinaibuka kidedea uchaguzi mkuu uliopita, wako kazini Igunga kuhakikisha hachakachuliwi mtu.
- Mkapa kapata mapokezi finyu ya bajaji na pikipiki.
- Kuna kijiji bwana Makufuli alikwenda na kutoa ahadi hewa ya kujenga daraja, ambayo CCM wamekuwa wakiitoa miaka na miaka, but this time around, wananchi walimwambia 'hatudanganyiki,.
- kuna taarifa kwamba baadhi ya vijiji raia wanaikimbia mikutanio ya CCM.
Nawasilisha. Nalala.
Tuonane kesho wakati wa mnyukano wa mwisho.
Nimshukuru Wa Jikoni.