Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

Mhimili ulishaingiliwa na majibu ya Kesi alishayatoa Kikwete usitegemee jipya wakati Rais alishaaema taratibu zilifatwa
 
Leo ndio siku ya hukumu ya ile kesi yenye kila hisia za visasi, siasa nk inayo mhusu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia Prof Costa Mahalu inayoratibiwa na kuhukumu pale mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar!

Kwa macho na masikio yetu tuvielekeze huko!
 
hukumu alishatoa JK sasa mnataka kufahamu nini zaidi tena?
taratibu zilifuatwa hata kama kuna hela zililiwa zimeshaliwa kwa utaratibu uliokiubalika wakati huo na watawala hao
 
Kupata information ulaya ni rahisi kuliko kwetu Tanzania, siku ambapo kizazi cha mwaka 47 kitakapoondoka maofisini nadhani ndio itakuwa ukombozi wa kupata taarifa within a minute maana kuna watu wana allergy na mitandao mpaka basi, update ya kesi hii ingekuwa imepatikana siku nyingi lakini process inayopita ni ndefu tukifanya masihara mpaka jioni
 
Tupeni updates za hukumu sio kuanza kupre-empty issue. Kama Jk alishatoa leo kungekuwa na hukumu? Tujadili baada ya kuisikia, in the meantime wenye access watujuze.
 
Tupeni updates za hukumu sio kuanza kupre-empty issue. Kama Jk alishatoa leo kungekuwa na hukumu? Tujadili baada ya kuisikia, in the meantime wenye access watujuze.

Huyu atashinda hakuna cha updates zozote! Tena mahakimu wa Kisutu, kama judges wanaweza kutoa hukumu za ajabu, sembuse hawa ambao wanaweza fukuzwa mara moja bila tume! Just wait and see. Utakuta hopeless issues zimekuwa raised kumwachia.
Aliyeuza jengo anasema risiti hii si ya kwangu, ya kwangu ni hii na mkataba wangu ni huu. Huu mwingine si wa kwangu. Unahitaji ushahidi gani tena!
 
..Tunasubiri Hukumu, acha kumbwandambwanda
 
habari za uhakika ni kwamba MAHALU AMEACHIWA HURU. kama mkuu wake alisema hana kosa mnategemea nini?
 
Leo ndio siku ya hukumu, kwa kesi ya kuhujumu uchumi inayowakabili hawa wawili, mwenye kujua kilichoamualiwa mahakamani tunaomba kujua.
 
Leo ndio siku ya hukumu, kwa kesi ya kuhujumu uchumi inayowakabili hawa wawili, mwenye kujua kilichoamualiwa mahakamani tunaomba kujua.

Wameshinda (mahalu and grace) kama ilivyotegemewa. Kweli mahakama zetu! Tena Kisutu, loooooo, kama majaji wanaamua ***** sembuse hawa Magistrates!
 
Back
Top Bottom