Kazi yoyote ya mashirika ya serikali au kupitia ajira portal usiombe kama huna refa au connection maana saivi nafasi zinatoka chache wahitaji ni wengi, matangazo yanatolewa kufuata utaratibu wa kuajiri lakin watu wameshaajiria nyuma na kuanza kazi nyie mnafanya maombi ya kuchaguliwa na kujipanga na interview.